Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, February 2, 2016

BONDIA YUSUPH MWEGELO HAPANIA KUMCHAKAZA DEI MBAISO FEB 14Bondia Yusuph Mwegelo katikati akimtupiana makonde na Mohamed Muhunzi wakati wa mazoezi yake ya kujiandaa kupigana na Dei Mbaiso feb 14 katika ukumbi wa musoma bar Tandika  kulia ni kocha wa kimataifa wa mchezo uho Rajabu Mhamila 'Super D' Picha na SUPER D BOXING NEWS

Bondia Yusuph Mwegelo katikati akimtupiana makonde na Mohamed Muhunzi wakati wa mazoezi yake ya kujiandaa kupigana na Dei Mbaiso feb 14 katika ukumbi wa musoma bar Tandika  kulia ni kocha wa kimataifa wa mchezo uho Rajabu Mhamila 'Super D' Picha na SUPER D BOXING NEWS

Bondia Yusuph Mwegelo kulia akimtupiana makonde na Mohamed Muhunzi wakati wa mazoezi yake ya kujiandaa kupigana na Dei Mbaiso feb 14 katika ukumbi wa musoma bar Tandika  kulia ni kocha wa kimataifa wa mchezo uho Rajabu Mhamila 'Super D' Picha na SUPER D BOXING NEWS
 Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' akimnowa bondia Yusuph Mwegelo anaejiandaa na mpambano wake wa Feb 14 katika ukumbi wa musoma bar ambapo atakumbana na Dei Mbaiso Picha na SUPER D BOXING NEWS

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...