Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, February 15, 2016

MABONDIA SAID MBELWA NA IBRAHIMU TAMBA KUZICHAPA MARCH 26 MANZESE


Mabondia Ibrahimu Tamba kushoto na Said Mbelwa wakitunishiana misuli baada ya kusaini mkataba wa makubaliano wa kuzipiga march 26 katika ukumbi wa frends corner manzese Dar es salaam katikati ni promota Jaffari Kitemo Picha na SUPER D BOXING NEWS

Promota Jaffari Kitemo 'katikati' akiwainua mikono juu mabondia Ibrahimu Tamba kushoto na Said Mbelwa wakati wa utambulisho wa mpambano wao jana utakaofanyika march 26 katika ukumbi wa frends corner manzese Dar es salaam
Picha na SUPER D BOXING NEWS

Na Mwandishi Wetu

MABONDIA Ibrahimu Tamba na Said Mbelwa jana wamesaini mkataba wa kuzipiga march 26 katika ukumbi wa Frends corner manzese Dar es salaam

mpambano uho wa raund nane kg 76 umeratibiwa na 
Jaffari Kitemo


akizungumza mara baada ya kutiliana saini mikataba ya kuzipiga Kitemo amesema kuwa siku hiyo kutakuwa na mapambano mbalimbali ya utangulizi ukiondoa pambano hili

na tumeandaa mpambano uhu kwa ajili ya kuondoa ubishi wa nani zaidi mana kila mmoja anatamba mtaani kuwa yeye ni zaidi ya mwenzie sasa jibu tutalipata march 26 pale manzese

nae bondia Mbelwa amesema kuwa kawaida yake ni kugawa dozi kwa kumpatia kipigo kitakatifu Tamba

akijibu majigambo hayo Tamba amesema mkuwa yeye ana makuu huvyo atakikisha anafanya mazoezi ya kutosha kwa ajili ya kumpiga Mbelwa kwani ngumi ni ngumi tu

siku hiyo kutakuwa na uzwaji wa DVD za ngumi  mabingwa wa Dunia akiwemo mpya za masumbwi kati ya bondia Amir Khan vs Nichlaus Maidana na Floyd mayweather vs Nichlaus Maidana one and two Manny Paquaio, Floyd Maywether, Roy Jones,Miguel Cotto,Linox Lewis, David Haye,Mohamed AliNo comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...