Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, February 1, 2016

MABONDIA MOHAMEDI MATUMLA NA COSMAS CHEKA WASAINI KUZITWANGA SIKUKUU YA PASAKA


Bondia Cosmas Cheka akipokea mkataba wake wa kuzipiga na Mohamed Matumla siku ya sikukuu ya Pasaka kutoka kwa mratibu wa mpambano uho Rajabu Mhamila 'Super D' baada ya kutiliana saini ya kuzipiga siku ya sukukuu ya Pasaka katikati ni mdau wa masumbwi nchini Abdallah Mwasora Picha na SUPER D BOXING NEWS
Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto ambaye ni mklatibu wa  mpambano wa bondia Mohamed Matumla kulia atakaepambana na Cosmas Cheka akikabidhiwa mkataba wake pamoja na sehemu ya malipo ya mchezo wake utakaochezwa siku ya  sikukuu ya Pasaka jijini Dar es salaam Picha na SUPER D BOXING NEWS
Bondia Mohamed Matumla  akisaini mkataba wake wa kuzipiga na Cosmas Cheka siku ya sikukuu ya Pasaka katika ukumbi wa uwanja wa ndani wa Taifa jijini Dar es salaam Picha na SUPER D BOXING NEWS


Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto  akimwesabia kiasi cha fedha ambacho alikabidhiwa kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wakeBondia Cosmas Cheka kushoto akitia saini mkataba wa kuzipiga na Mohamed Matumla mpambano utakaofanyika siku ya sikukuu ya Pasaka kulia ni mratibu wa mpambano uho Rajabu Mhamila 'super D' Picha na SUPER D BOXING NEWS

Bondia Cosmas Cheka kushoto akihesabu sehemu ya fedha zake kwa ajili ya maandalizi ya mpambano wake na Mohamed Matumla utakaofanyika siku ya sikukuu ya Pasaka  kutoka kwa mratibu wa mpambano uho Rajabu Mhamila 'Super D'  Picha na SUPER D BOXING NEWS

Na Mwandishi Wetu

MABONDIA Cosmas Cheka na Mohamed Matumla wamesaini kuzipiga siku ya sikukuu ya Pasaka uzito wa kg 61 katika ukumbi wa uwanja wa ndani wa Taifa

akizungumza baada ya kutiliana saini ya mikataba kwa mabondia hawo

Mratibu wa mpambano uho Rajabu Mhamila 'Super D' amesema nimewasainisha mabondia Mohamed Matumla atakaezipiga na Cosmas Cheka ata hivyo nipo kwenye mazungumzo na mabondia Fadhili Majia na Nassibu Ramadhani ambao nilikuwa ningie nao mikataba ata hivyo kambi hizo mbili wametofautiana kiswahili kuusiana na mikataba hiyo ata hivyo naendelea kushawishi kambi zote mbili ziwe katika msimamo ambano tumekubaliana ili tufanye kazi

mana tulikuwa tusaini mpambano uho leo rakini mezani nilikuwa na kambi moja tu ya Ramadhani hivyo atukuweza kuelewana na kambi ya Majia

wakati uho uho bondia Vicent Mbilinyi atatwangana na Mwinyi Mzengela katika mpambano wa raundi nane uzito wa kg 63 

na bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' atakumbana na Twaha Kiduku mpambano wa raundi nane uzito wa kg 63


siku hiyo kutakuwa na uzwaji wa DVD za ngumi  mabingwa wa Dunia akiwemo mpya za masumbwi kati ya bondia Amir Khan vs Nichlaus Maidana na Floyd mayweather vs Nichlaus Maidana one and two Manny Paquaio, Floyd Maywether, Roy Jones,Miguel Cotto,Linox Lewis, David Haye,Mohamed Ali


No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...