Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akisalimiana na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Pandu Ameir Kificho ambae naye alialikwa katika hafla hiyo na kushiriki pia kwenye maandamano hayo.
Makamu
wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizungumza katika
maadhimisho ya mwaka mmoja tokea kuanzishwa kwa kikundi cha mazoezi cha
Island Exercise Group hapo Migombani. Zaidi Bofya Hapa Chini
No comments:
Post a Comment