Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, April 2, 2014

Waandishi Wamjulia Hali Mwandishi Mwandamizi Pemba.Waandishi wakiwasili Kijiji kwa Maangwi Kiongoni Shegejuu wilaya ya Wete , kulia Juma Mmanga , Mwarab Mmadi (StarsTV) 
                       Wandishi wakisalimiana na Shekh Masoud Sanani walipowasili Kijijini kwao

Shekh. Masoud Sanani akizungumza na waandishin waliofika kumtembelea kujua hali yake, wakati akipata matibabu, kijiji kwao Maangwi Kisongoni Shegejuu Wilaya ya Wete Pemba, aliyesimama ni Ndg. Juma Mmanga.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...