AFRIKA YA KUSINI YABANWA NA CAPE VADE MICHUANO YA MATAIFA YA AFRIKA, YAKUBALI SARE
Timu za Bafana bafana ya Afrika Kusini na Cape Verde
zimetoka uwanjani katika mchezo wao wa ufunguzi wa kuwania kombe la mataifa ya
Afrika kwa kutoshana nguvu bila kufungana. Mchezo unaofuata hivi punde ni kati
ya Angola na Morocco.
No comments:
Post a Comment