Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, January 14, 2013

WAWAKILISHI WA SHINDANO LA GUINNES FOOTBALL CHALLEGE WAPAA KWENDA AFRIKA KUSINI


 Meneja wa kinywaji cha Guinness Davis Kambi (kushoto) akikabidhi tiketi za ndege kwa mwakilishi wa timu ya Tanzania, Mohamed Kobembe katika shindano la Guinnes Football Challege liltakalofanyika kuanzia Januari 14-22 Afrika Kusini. Makabidhiano hayo yalifanyika jijini Dar es Salaam.
Mmoja wa washiriki wa shindano hilo akizungumzia shindano hilo.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...