Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, April 3, 2013

TASWIRA KUTOKA TUME YA KATIBA:WAJUMBE WA TUME YA KATIBA KATIKA UCHAMBUZI WA MAONI YA WANANCHI


 Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Rcihard Lyimo (kushoto) akizungumza wakati wa kikao cha uchambuzi wa maoni ya wananchi kuhusu Katiba Mpya kilichofanyika leo (jumanne, April 2, 2013) katika Ofisi za Tume Jijini Dar es Salaam. Wengine ni Wajumbe wa Tume, Maria Kashonda (katikati) na Said El- Maamry.
 Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Salama Kombo Ahmed (katikati) akizungumza wakati wa kikao cha uchambuzi wa maoni ya wananchi kuhusu Katiba Mpya kilichofanyika leo (jumanne, April 2, 2013) katika Ofisi za Tume Jijini Dar es Salaam. Wengine ni Wajumbe wa Tume, Abubakar Ali (kushoto) na Mhe. Al-Shaymaa Kwegyir (kulia)
 
Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Mhe. Raya Suleiman Hamad (kushoto) akizungumza wakati wa kikao cha uchambuzi wa maoni ya wananchi kuhusu Katiba Mpya kilichofanyika leo (jumanne, April 2, 2013) katika Ofisi za Tume Jijini Dar es Salaam. Wengine kutoka kulia ni Wajumbe wa Tume, Humphery Polepole na Jesca Mkuchu.Picha na Tume ya Katiba

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...