



katika majengo nchini wakati wa mkutano wa bodi ya Usajili wa Makandarasi ( Contractors Registration Board (CRB) ambapo pia bodi hiyo ilikuwa ikiadhimisha miaka kumi na tano tangu kuanzishwa kwake. Katika mkutano huo uliohudhuriwa na makandarasi takribani 800 kutoka sehemu mbalimbali hapa nchini, Dkt. Kazaura aliwaeleza nia ya TTCL kusambaza mawasiliano ya kazi katika majengo mbalimbali hapa nchini na kuomba ushirikiano wa hali ya juu kutoka kwa makandarasi kujenga majengo ambayo yatakuwa yamewezeshwa tayari kuunganishwa na huduma za mawasiliano ya kasi ” Broadband Ready Buildings”.
No comments:
Post a Comment