Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, May 5, 2013

Floyd Mayweather Jr na Robert “The Ghost” Guerrero wapma uzito kwa ajili ya mpambano wao


Mayweather Guerrero Mayweather vs. Guerrero  robert guerrero floyd mayweather jr boxing
Bondia machachali awapo ulingoni Floyd Mayweather Jr  kushoto akitunishiana misuli na Robert “The Ghost” Guerrero baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika alfajiri ya leo

Guerero ambaye si msemaji sana nafasi hiyo ya usemaji alichukua baba yake ambaye ndie meneja wa bondia huo na kumkejeri Mayweather Jr kuwa lazima apigwe kwa kuwa yeye amezoea kupiga wanawake miezi kumi iliyopita Mayweather Jr alitumikia kifungo cha miezi mitatu baada ya kumpiga mama watoto wake ata hivyo Mayweather Jr alijibu mapigo hayo kwa kumkejeli na yeye kuwa alitokea na tukio la kukamatwa na bunduki asiyo miliki kiarali na kufanywa kuswekwa lumande kwa miezi kadhaa

1 comment:

  1. It will take younger men and women several times to recuperate, though mature people do
    greater over a week or even more of relaxation.


    Take a look at my web-site ... adjustable weights

    ReplyDelete

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...