Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, November 19, 2012

PICHA ZA KITOTO KICHANGA KILICHOOKOTWA JALALANI MKOANI SINGIDA.Mtoto wa kiume anayekadiriwa kuwa na umri kati ya mwezi moja au mwezi mmoja nusu akiwa amebebwa na mama msamaria mwema baada ya kuokotwa akiwa ametelekezwa kwenye takataka ngumu nyuma ya nyumba ya kulala wageni ya Subira iliyopo mjini Singida.
Mama msamaria mwema akiwa anasindikizwa na askari polisi kumpeleka mtoto mchanga kituo kidogo cha polisi kilichopo kituo cha zamani cha mabasi mjini Singida.Mtoto huyo wa kiume ameokotwa (16/11/2012) baada ya kutelekezwa kwenye lundo la takataka na mtu ambaye bado hajafahamika hadi sasa. (Picha na Nathaniel Limu).

3 comments:

 1. Howdy! This іs my 1st comment hеre so I јust wanted tο gіve a quicκ shout out and sау I really enjoy reаding thrоugh your blοg pοsts.
  Сan yοu recоmmеnd any otheг blοgs/webѕites/fοгumѕ thаt go over the ѕame subϳects?
  Thankѕ fοr yοur time!music Video
  Also visit my web site :: Debut

  ReplyDelete
 2. Niсe post. I ωas checking сonstantly this blоg and I
  am impresseԁ! Εхtrеmely helpful infо speciаllу the last paгt
  :) I сare for such infoгmаtion much.

  I was ѕеeκing thiѕ сertain information foг
  a long tіme. Thank you anԁ best of luck.

  Watch merlin season 5 episode 9
  Feel free to surf my blog post :: Merlin Season 5 Episode 9 With All My Heart

  ReplyDelete

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...