Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, November 26, 2012

WAKAZI WA ARUSHA WAJITOLEA DAMU KATIKA MPANGO WA DAMU SALAMA


Mwandishi wa habari wa wa Gazti la Uhuru kwa mkoa wa arusha
Mustapha akichangia damu mapema jana jijini Arusha, wakazi wengi mkoani Arusha walijitokeza na kuchangia damu katika mpango wa Damu salama mkoani humo.
Mmoja wa wanawake ambaye jina lake halikupatikana mara moja mkazi wa mkoa wa Arusha akitoa damu ,alipojitoeza kuchangia damu salama Mkoani Arusha jana,Picha na Gladness Mushi wa Fullshangwe -Arusha

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...