Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, November 26, 2012

SPIKA WABUNGE ANNE MAKINDA ALIVYOTUNUKIWA TUZO.


Spika wa Bunge la Tanzania Anne Makinda akipokea tuzo iitwayo ya African Influential Amazon Award kutoka kwa Mke wa Waziri Mkuu wa Kenya Mama Dkt.Ida Odinga iliyotolewa na Taasisi ya Center for Economic and Leadeership Development kutambua mchangowake katika kupigania maswala mbalimbali ya wanawake barani Afrika ikiwa ni pamoja na kushawishi wanawake kuingia kwenye vyombo mbalimbali vya maamuzi ikiwa ni pamoja na Bungeni kwenye hafla iliyofanyika jijini Nairobi Kenya.

Spika wa Bunge la Tanzania Anne Makinda akiwa kwenye picha ya pamoja na Mke wa Waziri Mkuu wa Kenya Mama Dkt.Ida Odinga mara baada ya kupokea tuzo hiyo.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...