Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, November 1, 2012

IBRAHIMU CLASS 'KING CLASS MAWE' AJIFU KUMKABILI SAID MUNDI WA TANGA

Kocha wa timu ya Taifa ya Masumbwi Mzonge Hassani (Kushoto) akioneshana ufundi wa kutupa masumbwi na bondia chipkizi Ibrahimu Class 'King Class Mawe' wakati wa mazoezi yake ya kujiandaa kuzipiga na bondia Said Mundi wa Tanga Desemba 9 katika ukumbi wa PTA Sabasaba.Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Bondia  Ibrahimu Class 'King Clas Mawe' (KUSHOTO) akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Kocha wa timu ya taifa ya ngumi Mzonge Hassani wakati wa mazoezi ya King Class Mawe ya kujiandaa na mpambano wake na Said Mundi wa Tanga Desemba 9 katika ukumbi wa PTA Sabasaba.Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...