Waziri
Mkuu Mizengo Pinda akipata maelezo zaidi kuhusu aina ya mbegu ya
mahindi iliyotumika kutoka kwa Bi. Grace Hokororo ambaye ni Bibishamba
wa kata ya Itenka wakati alipokuwa akikagua shamba darasa analolisimamia
kwenye kijiji cha Itenka wilayani Mlele, Katavi, Januari 6, 2013.
Alifurahia kazi yake na kuahidi kumpatia pikipiki imsaidie kutembelea
vijijiji vingine vinne anavyovisimamia. PICHA ZOTE/OFISI YA WAZIRI MKUU |
No comments:
Post a Comment