Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, July 6, 2012

BancABC WAZINDUA HUDUMA MPYA YA TRAVELING CARD AMBAYO SI LAZIMA UWE NA ACAUNT KWENYE BENKI YAO.


  Meneja mauzo wa rejareja wa BancABC, Aloyce Romanus akizungumza na waandishi wa habari kuhusu huduma mpya ya Traveling card ambayo si lazima uwe na accaunt Banc ABC  katika maonyesho ya Sabasaba jijini Dar es Salaam.
  Meneja Uhusiano kwa wateja wa BancABC, Mwajuma Mbaga akimuhudumia mteja katika maonyesho ya Sabasaba jijini Dar es Salaam
Meneja mauzo wa rejareja wa BancABC, Aloyce Romanus akizungumza na wateja katika maonyesho ya Sabasaba jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...