Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, July 20, 2012

CASTLE LAGER SUPERFAN TANGA ILIVYOFANA




Tairosy Augustino Masangula mkazi wa Iringa Tanzania akishangilia mara baada ya kufanikiwa kuingia katika kinyanganyiro cha kushindania nafasi ya kuwakilisha nchi kwenye kuunda timu ya Castle Lager Supafan ya Afica Afica United Team itakayokuwa nchini Afrika ya kusini kushangilia mashindano ya Africon mwakani.
Keneth Gwivammkazi wa Iringa Tanzania akishangilia mara baada ya kufanikiwa kuingia katika kinyanganyiro cha kushindania nafasi ya kuwakilisha nchi kwenye kuunda timu ya Castle Lager Supafan ya Afica Afica United Team itakayokuwa nchini Afrika ya kusini kushangilia mashindano ya Africon mwakani.
Happy Chatanda Mshindo Iringawa Iringa Tanzania akishangilia mara baada ya kufanikiwa kuingia katika kinyanganyiro cha kushindania nafasi ya kuwakilisha nchi kwenye kuunda timu ya Castle Lager Supafan ya Afica Afica United Team itakayokuwa nchini Afrika ya kusini kushangilia mashindano ya Africon mwakani.
Philipo Kidongososi wa Iringa Tanzania akishangilia mara baada ya kufanikiwa kuingia katika kinyanganyiro cha kushindania nafasi ya kuwakilisha nchi kwenye kuunda timu ya Castle Lager Supafan ya Afica Afica United Team itakayokuwa nchini Afrika ya kusini kushangilia mashindano ya Africon mwakani.
Stanley godfrey wa mwanjelwa Tanzania akishangilia mara baada ya kufanikiwa kuingia katika kinyanganyiro cha kushindania nafasi ya kuwakilisha nchi kwenye kuunda timu ya Castle Lager Supafan ya Afica Afica United Team itakayokuwa nchini Afrika ya kusini kushangilia mashindano ya Africon mwakani.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...