Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, July 1, 2012

Epiq Bongo Star search leo iko mkoani Lindi


Epiq Bongo Star search leo ilikuwa ni kwa mara ya kwanza kufika mkoani Lindi uwanja wa Bwalo la Polisi (Police Officer's Mess). ambapo imefanya usaili wa wasanii na piaitaendelea Kesho ambapo itakuwa siku ya mwisho wa usaili hapa Lindi wasanii 5 bora watachaguliwa ambao watawakilisha mkoa wa Lindi.
MWAKILISHI WA TAASISI YA KUCHANGIA DAMU SALAMA, DESTERIA NANYANGA, AKIWAELEZA WASHIRIKI KUHUSU UMUHIMU WA KUCHANGIA DAMU NA KUWAPA TAARIFA ZOTE MUHIMU KUHUSU UCHANGIAJI WA DAMU
WASHIRIKI WAKIPEWA MAELEZO KUHUSU USAILI
WASHIRIKI WAKIPANGA MSTARI KUCHUKUA NAMBA ZAO ZA USHIRIKI
WASHIRIKI WAWILI WAKIFANYA MAANDALIZI YA MWISHO KABLA YA KUINGIA KWA MAJAJI

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...