Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, July 2, 2012

mashindano ya pool mkoa wa tanga

Mchezasji wa mchezo wa pool wa timu ya Michael Pub, David Paul akijitaarisha kupiga mpira wakati wa mashindano ya mchezo huo kwa mkoa Wa Tanga jana
M
Mchezaji wa mchezo wa Pool wa timu ya Spaide Iddy Abbass akijiandaa kupiga mpira wakati wa mashindano ya mchezo huo kwa ngazi ya mkoa wa Tanga
Mchezaji wa
Mchezaji wa mchezo wa Pool wa timu ya Member's Klab Shally Stambully akijaribu kupiga mpiras wakati wa mashindano ya pool Mkoa wa Tanga

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...