Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, July 10, 2012

NGOSHA NOMAA... AFUNIKA"VODACOM WAJANJA TOUR"MTWARA..


Joe Makini akikamua Mtwara
Msanii Mkongwe wa Muziki wa kizazi kipya Fid Q akiwapagawisha wakazi wa Mkoa wa Mtwara hapo jana wakati wa tamasha la"WAJANJA" linaendeshwa na Vodacom Tanzania,Jumapili ijayo litafanyika  katika mkoa wa Tanga likiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma ujumbe kwa shilingi ishirini na tano kwenda mtandao wowote  na kutumia facebook na twitter

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...