Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, July 20, 2012

EXTRA BONGO WATUA FINLAND KULA BATA

Jamani tunaondoka tiketi huoni hii hapa....

 

Wcheza shoo wa Bendi ya Extra Bongo, Super Nyamwela (kushoto) na Dager Boy wakiingia ndani ya Uwanja wa Julius Nyerere kuruka Ulaya
Otilia Boniphace akiwa na furaaaaaha wakati wakuingia Uwanjani tayari kurukaUlaya
Sawa wakaubwa kafanyeni mambo sifa ni kwa Tanzania nzima
Kinde (kushoto) akimuaga mke wake mara mbilimbili Otilia Boniphace kulia huku Hoseah katikati akimueleza kuwa atamlindia na atarudi salama namba ya simu kule haipatikani Baba
Hoseah, hivi ndio tunaondoka kweli? Oti, yaani wewe mpaka sasa huamini?
Athanas Motanabe,Duh Ulaya hiyooooooooo....
Duh kama ndoto,Sasa Extra Bongo tumeiva.....

.
Kwaherini Tanzania, kwahehi mashabiki wa Extra Bongo....

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...