Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, July 12, 2012

JAMBELE AMTUNISHIA 'KIFUA' MANJI YANGA



Mgombea Uenyekiti wa klabu ya Yanga katika uchaguzi wa Jumapili, Diamond Jubilee, Dar es Salaam, John Jambele akimwaga sera zake mbele ya Waandishi wa Habari ukumbi wa Idara ya Habari (MAELEZO) asubuhi hii mjini Dar es Salaam. Jembele atachuana na Edgar Chibura na Yussuf Manji anayepewa nafasi kubwa ya kushinda katika kinyang'anyiro cha nafasi hiyo.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...