Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, July 8, 2012

KAMPUNI YA SIMU TANZANIA (TTCL) YAPATA TUZO MAONYESHO YA SABASABA



 Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), Balozi Seif Ali Idi akimkabidhi Cheti pamojo na tuzo Kaimu Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Shaban Mrisho baada yaibuka washindi katika kipengele cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano katika Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Nyerere Dar es Salaam.
 Wafanyakazi wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), wakiwa katika picha ya pamoja na Kaimu Ofisa Mtendaji Mkuu wa TTCL, Shaban Mrisho katika Maonyesho ya Sabasaba. 
Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Amanda Luhanga akitoa ufafanuzi wa huduma wanazotoa kwa watu waliofika katika banda la TCCL wakati wa Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea katika barabara ya Kilwa, Dar es Salaam.
Ofisa Masoko wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Thomas Lemunge akielezea faida za mkongo wa Taifa wa Mawasiliano kwa watu waliotembelea banda la TTCL.
Ofisa Masoko wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Thomas Lemunge akiwaonyesha watu waliotembelea banda la TTCL Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano watu waliofika katika banda la kampuni hiyo.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...