Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, July 8, 2012

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL, AMPOKEA MAKAMU WA RAIS WA AFRIKA YA KUSINI ALIYEFIKA NCHINI KWA ZIARA YA SIKU MBILI


 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimpokea makamu wa Rais wa Afrika ya Kusini, Kgalema Motlanthe, aliyewasili nchini leo Julai 8, 2012 kwa ajili ya ziara ya siku mbili, ambapo atakuwa na mazungumzo na Makamu wa Rais Dkt. Bilal na kesho atatembelea Mazimbu mkoani Mororgoro. Picha na Muhidin Sufiani-OMR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiongozana na kuzunguma jambo na makamu wa Rais wa Afrika ya Kusini, Kgalema Motlanthe, aliyewasili nchini leo Julai 8, 2012 kwa ajili ya ziara ya siku mbili, ambapo atakuwa na mazungumzo na Makamu wa Rais Dkt. Bilal na kesho atatembelea Mazimbu mkoani Mororgoro. Picha na Muhidin Sufiani-OMR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na makamu wa Rais wa Afrika ya Kusini, Kgalema Motlanthe, baada ya kuwasili nchini leo Julai 8, 2012 kwa ajili ya ziara ya siku mbili, ambapo atakuwa na mazungumzo na Makamu wa Rais Dkt. Bilal na kesho atatembelea Mazimbu mkoani Mororgoro. Picha na Muhidin Sufiani-OMR

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...