Baadhi
ya Maiti zilizopatikana katika Ajali ya Meli ya Skagit iliozama
zikiwa katika Eneo la Maisara kwa ajili ya kutambuliwa na
Nduguzao.Hadi mchana huu Maiti zilizopatikana ni 39 kwa mujibu wa
Kamanda wa Polisi Zanzibar na bado waokoaji wanaendelea na zoezi hilo
katika eneo la Tukio.
Baadhi
ya Wananchi waliozitambua maiti zao katika Viwanja vya Maisara
wakisaidiwa na Askari kutokana na Huzuni kubwa waliokuwanazo.kwa kuzama
kwa Meli ya skagit hapo jana katika Eneo la karibu na Kisiwa cha
Chumbe Zanzibar.Hadi mchana huu Maiti zilizopatikana ni 39 kwa mujibu
wa Kamanda wa Polisi Zanzibar na bado waokoaji wanaendelea na zoezi
hilo katika eneo la Tukio.
Baadhi
ya wananchi wakiwa katika Foleni ili kwenda kuzitambua Maiti zao
katika Viwanja vya Maisara kutokana na kuzama kwa Meli ya skagit hapo
jana katika Eneo la karibu na Kisiwa cha Chumbe Zanzibar.Hadi mchana
huu Maiti zilizopatikana ni 39 kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi
Zanzibar na bado waokoaji wanaendelea na zoezi hilo katika eneo la
Tukio.
Baadhi
ya Wageni kutoka Nchi mbalimbali wakiwa katika Viwanja vya Maisara
ili kujuwa Ndugu zao na kuangalia taratibu zinazofanyika viwanjani
hapo kutokana na Kuzama kwa meli ya skagit hapo jana katika Eneo la
karibu na Kisiwa cha Chumbe Zanzibar.Hadi mchana huu Maiti
zilizopatikana ni 39 kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Zanzibar na bado
waokoaji wanaendelea na zoezi hilo katika eneo la Tukio.
Baadhi
ya Wananchi wakiwa wamekusanyika katika Viwanja vya Maisara ili
kuweza kupata taarifa ya Ndugu zao waliokuwa katika Meli ya Skagit
ambayo imepata Ajali ya Kuzama katika Eneo la karibu na Kisiwa cha
Chumbe Zanzibar.
Baadhi
ya Waandishi wa Habari wa Vyombo mbaliombali wakiwa katika Viwanja
vya Maisara ili kuweza kupata Taarifa mbalimbali za kuletwa kwa Maiti
ambazo zimepatikana katika ajali ya Meli ya skagit iliozama hapo jana
katika Eneo la karibu na Kisiwa cha Chumbe Zanzibar.
Wananchi
mbalimbali wakizitambua Maiti zao zilizopatikana katika Ajali ya Meli
ya skagit iliozama hapo jana katika Eneo la karibu na Kisiwa cha
Chumbe Zanzibar.Hadi mchana huu Maiti zilizopatikana ni 39 kwa mujibu
wa Kamanda wa Polisi Zanzibar na bado waokoaji wanaendelea na zoezi
hilo katika eneo la Tukio.
Baadhi
ya Maiti zilizopatikana katika Ajali ya Meli ya Skagit ilizama
zikiteremshwa katika Viwanja vya Maisara Mjini Zanzibar ili kutambuliwa
na Jamaa zao.Hadi mchana huu Maiti zilizopatikana ni 39 kwa mujibu wa
Kamanda wa Polisi Zanzibar na bado waokoaji wanaendelea na zoezi hilo
katika eneo la Tukio.
Madaktari
wakiandika Orodha ya Maiti zinazoletwa hapo katika Viwanja vya
Maisara Mjini Zanzibar Baada ya kupatikana kutoka katika Meli ya
Skagit iliozama hapo jana katika Eneo la karibu na Kisiwa cha Chumbe
Zanzibar.
Wahusika
wa Matayarisho ya Mazishi ya watu waliokuwa bado hawajatambuliwa na
Jamaa zao ili kuzikwa kiserikali wakiwa katika kazi ya kutayarisha
Sanda hapo katika Viwanja vya Maisara Zanzibar.
No comments:
Post a Comment