Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, July 11, 2012

Meya wa ilala Mhe.Jerry Silaa amtembelea Rais Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam



Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha ikulu Meya wa Manispaa ya Ilala Mhe.Jerry Silaa wakati meya huyo alipomtembelea na kufanya naye mazungumzo kuhusu masuala mbalimbali ya maendeleo ya Manispaa hiyo.Wengine katika picha ni viongozi kutoka manispaa ya Ilala waliofuatana na Meya juzi (Picha na Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...