Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, July 11, 2012

MICHUANO YA COPA COCA-COLA TANGA YAINGIA NUSU FAINALI KWA KUIFUNGA DODOMA 1-0



Golikipa wa timu ya mkoa wa Tanga, Fikirin Suleiman akidaka mpira mbele ya mshambuliaji wa timu ya mkoa wa Dodoma, Japhet Lunyungu (kushoto) wakati wa mchezo wa robo fainali ya Copa Coca-Cola uliofanyika kwenye Uwanja wa Karume jijini Dar es salaam. Tanga imeshinda 1-0.
 
Mashabiki wa soka wakifuatilia mchezo kati ya Dodoma na Tanga

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...