Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, July 3, 2012

NDOVU YABADILI NEMBO NA KUBAKISHA LADHA VILEVILE.


Meneja wa bia ya Ndovu Pamela Kikuli, akionyesha nembo mpya ya bia hiyo wakati wa uzinduzi wa nembo hiyo uliofanyika jana usiku jijini Dar es Salaa, ambayo muonekano wa nembo hiyo utakuwa mkubwa zaidi ladha yake kubaki ileile.
Mashabiki wa kinywaji cha Ndovu na baadhi ya wafanyakazi wakicheza mchezo ya kuchemsa akili 'gam' za bia ya ndovu kwenye mashine maalum iliokuwepo wakati wa uzinduzi wa nembo mpya ya bia hiyo, huku ladha yake ikibaki ile.
Meneja wa bia ya Ndovu Pamela Kikuli (kushoto) akiwa na baadhi ya watu waliohudhuria kwenye uzinduzi huo.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...