Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, July 3, 2012

TIGO WALIVYOFUNIKA KATIKA TAMASHA LAO MWISHONI MWA WIKI COCO BEACH, LAMUIBUA MR.NICE LAIBUA DOGO POTEZA MWENGINE, aPAGAWISHA MASHABIKI MPAKA WATOKWA MACHOZI. Dogo anaswaga za kufa mtu


Mashabiki wa muziki wa kizazi kipya wakiwa wamefurika  kwenye tamasha la Tigo lilifanyika jana kwenye viwanja vya Coco beach ambapo wasanii wachanga waliburudisha mashabiki hao, ambapo leo hii ni zamu ya wasanii wakongwe.

Shangwe za kufa mtu ziliibuka baada ya baadhi ya wasanii wachanga kukonga nyoyo za mashabiki hao.

Mambo ya vidole juu 'mambo ya pwani' nayo yalikuwepo wadada wakashindana kuvunja nyonga.

Hapa ndo fainali otea mshindi, ninani?

Na huyu ndiye aliyeibuka kidedea na kupigiwa mayowe na shangwe.

Mr.Nice aliibuka mbele ya mashabiki huku akipewa nguvu na Dogo poteza mpya kabisa kwenye fani ambapo alikonga nyoyo za mashabiki, hassa kwa swaga zake za ukweli.

Doko aliye waacha midomo wazi mashabiki wa muziki kwa kuonyesha uwezo mkubwa wa kutawala jumkwaa huku akiwa na swaga za ajabu hata mashabiki kumtabiria kufanya mambo makubwa zaidi kwenye kipindi kifupi tu kijacho.

Mr. Nice akiwashukuru mashabiki kwa kumrejesha tena kwenye fani.

Hapa Mr. Nice akiwapigia magoti mashabiki na kuwaomba wampokee tena wasimpotezee.

 SASA SHUHUDIA SWAGA ZA DOGO ALIYE IBUKA KWENYE TAMASHA LA TIGO JANA, LEO ATAPANDA TENA JUKWAANI HAPOHAPO COCO BEACH.

H.Baba naye aliendeleza makamuzi baada ya kufanya kazi hiyo miezi kadhaa mikoani.

Freee Staili Zipoooooooooooo!

Sema Eeeeeeeeeeeeeee Eeeeeeeeeeee.

Oyooooooooooooooo wanangu mpooooooo!

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...