Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, July 8, 2012

STANBIC FAMILY DAY CELEBRATIONS

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Stanbic Tanzania, Bashir Awale (kulia) akikabidhi kikombe kwa timu iliyoibuka kidedea katika michezo yote ilikyofanyika wakati wa siku ya wanafamilia wa benki hiyo jijini Dar es Salaam jana.

 Mfanyakazi wa Benki ya Stanbic, Robert Kawonga akirudisha mpira upande wa wapinzania wao katika mchezo wa mpira wa wavu katika moja ya michezo kuadhimisha siku ya wanafamilia wa benki hiyo jijini Dar es Salaam jana.
 Wafanyakazi wa benki ya Stanbic Tanzania wakishindana katika mchezo wa kuvuta kamba ili kumpata mshindi, katika moja ya michezo kuadhimisha siku ya wanafamilia wa benki hiyo jijini Dar es Salaam jana.
 Hapa wakichuana katika soka la ufukweni katika shamra shamra ya siku ya wanafamilia wa benki hiyo.


No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...