Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, July 8, 2012

THERESIA KIMARIO NDIO REDD'S MISS TANGA



Redd's Miss Tanga 2012,Theresia Kimaro (katikati) akiwa katika picha ya Pamoja na mshindi wa pili,Beatroce Joseph na wa tatu Johari Harom muda mfupi baada ya kumalizika kwa shindano lao liliilofanyika usiku huu kwenye Uwanja wa Mkwakwani,Jijini Tanga jana.
Washiriki walioingia tano Bora.
Washiriki wote stejini.
Shoo ya warembo walioshiriki Miss Tanga 2012.
Washereheshaji wa Shindano hilo .
AT na madansa zake wakitoa shoo.
Malkia wa Mipasho,Khadija Kopa nae akipagawisha.
Majaji.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...