Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, July 8, 2012

WEMA VS JACK AKUNA MBABE

Bondia Wema Sepetu akimkimbia mpanzani wake Jacklen Wolper wakati wa mpsambano wao
blogspot.com picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com 
 Kocha wa Wema Sepetu ,Rashidi Matumla akimvua Joho wema kabla ya kupigana blogspot.com picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Mabondia ambani ni wacheza filamu maarufu nchini Wema Sepetu kushoto na Jacklen Wolper wakioneshana ufundi wa kutupiana masumbwi wajkati wo Tamasha la vMatumaini lililofanyika jumamosi katika uwanja wa Taifa blogspot.com picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Refa John Chagu akiwainua mikiono juu mabondia Jacklen Wolper kushoto na Wema Sepetu kuashiria mpambano wao ni droowww.superdboxingcoach.blogspot.com

WEMA NA WOLPER KATIKA ALAMA ZA freemason
Mdau wa mchezo wa Masumbwi Nchini Ibrahimu Kamwe akimwelekeza bondia Wema Sepetu kitublogspot.com picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Baada ya mpambano wawili hawo hawo wanaondoka eneo la tukio
Bondia Alphonce Mchumia Tumbo akipambana na Ramadhani Kido wakati wa mpambano wao mchumia Tumbo alishinda kwa K,O ya raundi ya Pili . picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Mpambano ukiendelea kwa kutupiana makonde
Mchumia tumbo akioneshwa kuwa yeye ni mshindi wa mpambano huo
Bondia wa Zimbabwe akipewa mawaiza na wasaidizi wake wakati wa mpambano wake

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...