Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, July 12, 2012

TIGO KUWAUNGANISHIA WATEJA WAO HUDUMA YA INTANETI KWENYE SIMU 'tigo jamaa'


 Meneja wa Huduma za Tigo Internet, Titus Kafuma akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu huduma ya Tigo Jamaa ya kusaidia waunganishia wateja huduma za Inteneti kwenye simu zao.Kulia ni Ofisa Uhusiano wa Tigo, Alice Maro. PICHA NA KAMANDA MWAIKENDA
 Dada akitafuta matukio wakati wa mkutano huo
Wanahabari wakisikiliza kwa makini kwa ajili ya kuripoti habari za uhakika kwa jamii

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...