Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, July 12, 2012

SARA RAMADHAN ALALAMIKIA TFF KUMUENGUA UCHAGUZI WA YANGA


Aliyekuwa mgombea wa klabu ya Yanga Spots Bi. Sara Ramadhani, akielezea mbele ya waandishi wa Habari leo jijini Dar es Salaam, juu ya kuenguliwa kwake katika kinyang'anyiro cha uenyekiti na klabu ya Ynaga, kwa madai ya kutokidhi vigezo Sara Ramadhan amesema  shirikisho hilo halina mamlaka ya kuingilia shughuili za klabu, pia amesisitiza kuwa yeye bado ni mgombea halali wa nafasi ya uenyekiti wa Yanga na kuwa sababu za kumuengua kwa kuwa hakupeleka vyeti katika shirikisho si sahihi na anapaswa kufanya hivyo endapo baraza la michezo ndio lingehitaji vyeti kwa kuwa Yanga ni klabu ya michezo mingi na si mpira wa miguu pekeee

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...