Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, August 4, 2012

BANC ABC YAFUTURISHA WADAU WAO



 Sheikh wa mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa akiomba dua wakati wa hafla ya kufuturisha iliyofanyika jijini Dar es Salaam. Picha na Habri Mseto Blog.
 Wadau mbalimbali wakipata futari.
 Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya ABC, Boni Nyoni (kushoto) akijumuika na wadau wa Banc ABC wakati wa kupata futari 
Mtwa Lawrence (kulia), akipata futari wakati wa hafla hiyo.
Mkurugenbzi Mkuu wa BancABC, Boni Nyoni (kushoto) akimshukuru Sheikh wa mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa, baada ya futru iliyoandaliwa na benki hiyo jana jioni kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...