Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, August 10, 2012

BIA YA KILIMANJARO YAPAMBA KOZI YA UTAWALA NA USIMAMIZI YA FIFA


Picha ya pamoja Washiriki wa Kozi ya FIFA ya Utawala na Usimamizi (Administration and Management) iliyohusisha wadau mbalimbali wa soka la Tanzania wakiwamo Makatibu wa Vyama vya Soka na Uongozi wa TFF. Kozi hiyo inafanyika kwenye Ukumbi wa Msimbazi Centre Jijini Dar es Salaam kuanzia Agosti 6 hadi 11, 2012. Bia ya Kilimanjaro Premium Lager ndio mdhamini wa Timu ya Taifa (Taifa Stars) na klabu za kongwe za Simba na Yanga.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...