Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, August 7, 2012

MABONDIA KING CLAS MAWE,MUSSA SUNGA WAINGIA KAMBINIM

Mabondia Mussa Sunga kushoto na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' wakioneshana umwamba wa kutupiana masumbwi wakati wa mazoezi yao ya kujitaalisha na mapambano ya ngumi siku ya Idi pili Sunga atacheza na Mussa Seifu 'Boda boda katika uwanja wa Bandari na Class atapambana na Sako Mwaisege 'Dunga' katika ukumbi wa Diamond Jublee

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...