Mkurugenzi Uendeshaji wa Mfuko wa Akiba ya Wafanyakazi Serikalini
(GEPF), Anselim Peter akitoa pole kwa wagonjwa katika Taasisi ya
Saratani Ocean Road jijini Dar es Salaam wakati wafanyakazi wa mfuko huo
waliposhiriki futari na wagonjwa waliolazwa katika taasisi hiyo.
Kushoto ni Meneja Masoko wa Mfuko huo, Aloyce Ntukamazina
Mkurugenzi Uendeshaji wa Mfuko wa Akiba ya Wafanyakazi Serikalini (GEPF), Anselim Peter akiandaa futari.
Meneja Masoko wa Mfuko huo, Aloyce Ntukamazina akimpa futari mmoja wa wagonjwa waliolazwa katika Taasisi ya Saratani Ocean Road.
Mkurugenzi Uendeshaji wa Mfuko wa Akiba ya Wafanyakazi Serikalini (GEPF), Anselim Peter
Baadhi ya wagonjwa wakipata futari.
No comments:
Post a Comment