Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, August 13, 2012

Rais Dk. Shein akutana na Mabalozi wa Korea na Denmark Ikulu Zanzibar


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein,akizungumza na Balozi wa Korea Nchini Tanzania, Kim Young  Hoon,alipofika kumuaga Rais,katika ukumbi wa  Ikulu Mjini Zanzibar leo.  [Picha na Ramadhan Othman, Ikulu.]

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Balozi wa Denmark  Nchini Tanzania, Johnny Flento,alipofika  Ikulu Mjini Zanzibar  leo, kwa mazungumzo na Rais.  [Picha na Ramadhan Othman, Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...