Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, August 15, 2012

RAIS DKT. JAKAYA KIKWETE, AZINDUA AWAMU YA TATU YA MFUKO WA MAENDELEO YA JAMII (TASAF III), UWANJA WA JAMHURI, DODOMA


 Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akizindua awamu ya tatu ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF III) Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma leo asubuhi.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akihutubia mamia ya wananchi wakati akizindua awamu ya tatu ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF III) Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma leo.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akikagua mabanda ya maonesho wakati wa uzinduzi wa awamu ya tatu ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF III) Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma leo. Kulia ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Idd na Spika wa Bunge Mhe Anne Makinda.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo toka kwa Mkurugenzi Mkuu wa TASAF Bw. Ladislaus Mwamanga wakati akikagua mabanda ya maonesho wakati wa uzinduzi wa awamu ya tatu ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAFAIII) Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma leo.Pamoja naye ni Spika wa Bunge Mhe Anne Makinda na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Iddi 
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi tuzo aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa TASAF  Dr Servacius Likwelile  wakati wa uzinduzi wa awamu ya tatu ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAFAIII) Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma leo
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Iddi kitabu cha uzinduzi wa awamu ya tatu ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAFAIII) katika Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma leo.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue kwa niaba ya Rais wa Awamu ya Tatu Mhe Benjamin William Mkapa wakati wa uzinduzi wa awamu ya tatu ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAFAIII) katika Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma leo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizindua kitabu cha awamu ya tatu ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAFAIII) katika Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma leo.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...