Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, August 10, 2012

Tigo yatoa msaada wa Vitabu 300 UDOM


 Makamu mkuu wa chuo ch UDOM Profesa Luduvick Kinabo(katikati) akiishukuru kampuni ya Tigo kwa kuendelea kuchangia maendeleo ya chuo cha UDOM pembeni yake ni meneja uhusiano na udhamini wa Tigo Bw, Edward Shila pamoja na Mkurugenzi wa Tigo kanda ya Kati Fadhila Said.
 Meneja uhusiano na udhamini wa Tigo Bw. Edward Shila, akionesha maboksi ambayo ndani yake kuna vitabu 300 vilivyotolewa na kampuni ya Tigo kusaidia maendeleo ya elimu katika chuo cha UDOM.
Profesa Ludovick Kinabo (katikati) akipokea msaada wa vitabu kutoka kwa meneja uhusiano na udhamini wa Tigo Bw. Edward Shila , anayeshuhudia ni mkurugenzi wa Tigo kanda ya kati, Fadhila Said.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...