Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, August 6, 2012

Uzinduzi wa Mashine za Kuvunia Mpunga,(Combine Harvester)


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,(kushoto) akiangalia Mpunga Uliovunwa
kwa kutumia  mashine ya  Kuvunia Mpunga,(Combine Harvester) baada ya
kuzindua mashine  hizo katika shamba la Kilimo la Serikali huko Bambi
Wilaya ya Kati  Mkoa wa Kusini Unguja  leo.[ Picha na Ramadhan
Othman,IKulu.]
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,akiwasha Mashine ya Kuvunia
Mpunga,(Combine Harvester) ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa Mashine
hizo,zilizonunuliwa na Serikali ya Mapinduzi zikiwa jumla 14 katika
kuboresha hatua za Mapinduzi ya Kilimo,katika Shamba la Mbegu Bambi
,Wilaya ya Kati  Mkoa waKusini Unguja leo.[ Picha na Ramadhan
Othman,IKulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,(wa sita kushoto)akiangalia  Mashine ya
Kuvunia Mpunga,(Combine Harvester) baada ya kufanya  uzinduzi wa
Mashine hizo,zilizonunuliwa na Serikali ya Mapinduzi zikiwa jumla 14
katika kuboresha hatua za Mapinduzi ya Kilimo,katika Shamba la Mbegu
Bambi ,Wilaya ya Kati  Mkoa waKusini Unguja leo.[ Picha na Ramadhan
Othman,IKulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,(kushoto) akiangalia Mpunga Ukitoka
katika mashine ya  Kuvunia Mpunga,(Combine Harvester) baada ya
kuzindua mashine  hizo katika shamba la Kilimo la Serikali huko Bambi
Wilaya ya Kati  Mkoa wa Kusini Unguja  leo.[ Picha na Ramadhan
Othman,IKulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati) akifuatana na Uongozi wa
Wzara ya Kilimo na Maliasili,baada ya kuzindua rasmi  mashine za
Kuvunia Mpunga,(Combine Harvester) katika hafla iliyofanyika leo huko
shamba la Kilimo la Serikali,  Bambi Wilaya ya Kati  Mkoa wa Kusini
Unguja.[ Picha na Ramadhan Othman,IKulu.]

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...