Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, August 15, 2012

VIFAA VIPYA VYA SIMBA


 vifaa vipya vya timu ya soka ya Simba wakiwa kwenye mazoezi katika katika viwnja vya mpira cha shule ya St. Jude jijini Arusha,Kushoto Pasco Ochieng na Paulo Ngalema. Picha zote na Ahmed Mahmoud.
Mchezaji mpya ,Daniel Kuffor kutoka nchini Ivory Coast akiwa kwenye mazoezi na timu yake ya Simba
Mchezaji mpya wa Simba Paulo Ngalema akiwa kwenye mapumziko ya mechi ya mazoezi na timu ya shule ya st Jude.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...