Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, August 4, 2012

WAZIRI WA NCHI HAWA GHASIA AFUNGUA MAONESHO YA TATU YA NANENANE LINDI.


Waziri wa nchi Ofisi ya Wziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI Hawa Ghasia, akiangalia bidhaa za wakulima kwenye maonyesho ya 3 ya Nane nane kanda ya Kusini kwenye viwanja vya Ngongo Manispaa ya Lindi, katikati ni Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea Regina Chonjo.
Wakuu wa Wilaya wakifuatilia Hotuba ya Waziri Ghasia.
Waziri wa Ghasia(watatu kushoto) akisikiliza maelezo ya matumizi ya madawa mbalimbali ya kilimo wakati wa maonyesho hayo yanayoendelea Mkoani humo.
Baadhi ya Korosho zinazo banguliwa na kufungwa kwenye vifungashio na wajasiriamali wa Mkoa huo.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...