Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, November 7, 2013

SAMSUNG TANZANIA WAZINDUA KAMPENI MPYA YA MWISHO WA MWAKA IJULIKANAYO KAMA "PAMBIKA NA SAMSUNG" LEO JIJINI DAR


 Bw. Kishor Kumar, Meneja Mkuu wa Samsung Tanzania (kushoto) akionyesha zawadi kubwa ya gari aina ya Mitsubishi Pick-up mpya mbele ya wanahabari (hawapo pichani) kulia ni Sylvester Manyara Meneja Mauzo Rejareja wa Samsung Tanzania. Mteja mmoja wa Samsung atajiondokea nyumbani na gari hilo litakalosheheni bidhaa mbalimbali kutoka Samsung katika droo ya mwisho ya Novemba 23, 2013 itakayofanyika katika eneo la Kibiashara la Mlimani City, Dar es Salaam.
 Meneja Mauzo ya rejareja wa Samsung Tanzania Bw. Sylvester Manyara akionyesha bidhaa mbalimbali za Samsung zitakazoshindaniwa kwenye shindano la Pambika na Samsung katika uzinduzi wa promosheni hiyo iliyofanyika leo katika duka la Samsung Quality Center, Dar es salaam.
Meneja Mkuu wa Samsung Tanzania, Bw. Kishor Kumar akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi rasmi wa promosheni kabambe ya Pambika na Samsung inayolenga kuwazawadia wateja watakaonunua bidhaa za Samsung na kuzisajili zawadi mbalimbali kila. Tukio hilo limefanyika katika Duka la Samsung liliopo Quality Center, Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...