Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, November 23, 2013

MAKAMU WA RAIS AKABIDHI TUZO KWA WATANZANIA WALIO MSTARI WA MBELE KATIKA KUBORESHA AFYA YA MAMA NA MTOTO, JIJINI DAR LEO



 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Mohammed Gharib Bilal,akimkabidhi Tuzo, Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP, Regnald Mengi, wakati wa hafla ya utoaji wa Tuzo kwa Watanzania walio mstari wa mbele katika kuboresha Afya ya Mama na Mtoto, iliyofanyika kwenye Viwanja vya Karimjee, jijini Dar es Salaam,leo. Katikati ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji na Uwezeshaji, Dkt. Mery Nagu.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Mohammed Gharib Bilal,akimkabidhi Tuzo,Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji na Uwezeshaji, Dkt. Mery Nagu, aliyepokea kwa niaba ya Rais Mstaafu wa awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi, wakati wa hafla ya utoaji wa Tuzo kwa Watanzania walio mstari wa mbele katika kuboresha Afya ya Mama na Mtoto, iliyofanyika kwenye Viwanja vya Karimjee, jijini Dar es Salaam,leo. Wengine waliokuwa katika orodha hiyo ya kukabidhiwa tuzo hizo ni pamoja na Rais Jakata Kikwete, Mama Salma Kikwete, Rais Mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa, Sofia Simba, na wengineo
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Mohammed Ghari Bilal, akimkabidhi Tuzo, Dkt. Faraji Mkwakwacha, wakati wa hafla ya utoaji wa Tuzo kwa Watanzania walio mstari wa mbele katika kuboresha Afya ya Mama na Mtoto, iliyofanyika kwenye Viwanja vya Karimjee, jijini Dar es Salaam,leo. Katikati ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji na Uwezeshaji, Dkt. Mery Nagu.
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Mohammed Gharib Bilal,akimkabidhi Tuzo, Nesi Yasinta Baruti, kutoka Mkoa wa Katavi, wakati wa hafla ya utoaji wa Tuzo kwa Watanzania walio mstari wa mbele katika kuboresha Afya ya Mama na Mtoto, iliyofanyika kwenye Viwanja vya Karimjee, jijini Dar es Salaam,leo. Katikati ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji na Uwezeshaji, Dkt. Mery Nagu. 
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Mohammed Gharib Bilal,akimkabidhi Tuzo, Elia Elikana, kutoka mkoa wa Singida ambaye ni mwanaume aliyepata tuzo hiyo kwa kumsindikiza mkewe Kliniki mara nyingi, wakati wa hafla ya utoaji wa Tuzo kwa Watanzania walio mstari wa mbele katika kuboresha Afya ya Mama na Mtoto, iliyofanyika kwenye Viwanja vya Karimjee, jijini Dar es Salaam,leo. 
 Picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa Taasisi ya Madaktari wahitimu Tanzania na waliopata Tuzo.
Picha ya pamoja na wanamuziki wa Sikinde, waliokuwa wakitoa burudani katika hafla hiyo.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...