Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, November 6, 2013

UZINDUNZI WA KITABU CHA DAWA NA MATIBABU Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk, Hussein Mwinyi  (kulia) akizindua kitabu cha  Orodha ya Dawa muhimu na matibabu  katika hafla iliyofanyika jana jioni kwenye ukumbi wa  mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius  Nyerere jijini Dares Salaam. Kushoto ni Mfamasia Mkuu kutoka wizara hiyo, Henry   Ilunde.
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk, Hussein Mwinyi  (kulia) akimkabidhi  Kaimu Katibu Mkuu wa wizara hiyo, ambaye pia ni Kamshina wa Ustawi wa Jamii, Danford Makala (kushoto)  kitabu cha  Orodha ya Dawa muhimu na matibabu  katika hafla iliyofanyika jana jioni kwenye ukumbi wa  mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius  Nyerere jijini Dares Salaam.
Picha na Magreth Kinabo –Maelezo.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...