Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, November 7, 2013

NMB YATOA VIFAA VYA MICHEZO KWA KIWANDA CHA SUKARI-ILOVO


Bonanza 1Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda cha Sukari-ILOVO, Mark Bainbridge (kulia) akipokea sehemu ya vifaa vya michezo kutoka kwa Meneja wa NMB Kanda ya Mashariki Bw. Nazareth Lebbi. Vifaa hivyo vyenye thamani ya shilingi milioni 7 na laki 5 vimetolewa na NMB kwa ajili ya bonanza ya ujirani mwema kwa taasisi zilizopo Kidatu- Kilombero. Wakishuhudia kutoka kulia ni Meneja Utumishi-ILOVO Bw. Beda Marwa, Meneja wa tawi la NMB Kilombero, Bw.Henry Shadolo pamoja na ofisa kutoka ILOVO.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...