Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, November 4, 2013

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AMJULIA HALI DKT. SENGONDO MVUNGI ALIYELAZWA MUHIMBILIMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib  Bilal, akimsikiliza Dkt. Mugisha Clement, aliyekuwa akimpa maelezo
kuhusu alivyompokea Mjumbe wa Tume ya Katiba, Dkt. Sengondo Mvungi,
aliyelazwa  katika Kitengo cha Uangalizi Maalum (ICU) MOI katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, wakati alipokwenda kumjulia hali, kufuatia kujeruhiwa na majambazi usiku wa kuamkia jumapili huko nyumbani kwake  maeneo ya Kibamba. Picha na OMR

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...