Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, November 21, 2013

BABU SEYA NA MWANAE PAPII KOCHA WAFUNGWA TENA KIFUNGO CHA MAISHA


Mwanamuziki Nguza Viking na mwanaye Johnson Nguza 'Papii Kocha'.

Ile hukumu ya rufaa ya mwanamuziki Nguza Viking na mwanaye Johnson Nguza 'Papii Kocha' imewarejesha jela tena kifungo cha maisha baada ya hoja za serikali za kukazia hukumu kuzidi zile za upande wa utetezi. Babu Seya na Papii Kocha walihukumiwa kifungo cha maisha jela mwaka 2004 baada ya kupatikana na hatia ya kuwanajisi watoto wa Shule ya Msingi, Mashujaa, Sinza jijini Dar ambapo wamekuwa wakikata rufaa mara kwa mara lakini wakagonga mwamba. Hukumu hii ya rufaa ndiyo ya mwisho kusikilizwa.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...